Chuo cha TEKU Mbeya mnatia aibu

Kudaiwa ni jambo la kawaida. Au kioja ni kwa mageti kufungwa na halmashauri inayowadai TEKU? Huo ni upuuzi wao tu kwani chuo kitatorokea wapi mpaka ufunge geti? Au kufunga geti kuna uhusiano gani na deni? Kwa mfano geti limefungwa lakini chuo kikabuni mbinu nyingine ya wanafunzi kuingia chuoni bila kutumia geti lililofungwa na halmashauri kisha shughuli zikaendelea na deni lisilupwe ndio kufunga geti kutakuwa kumesaidia nini?
Wana mbinu za kizamani za kudai madeni kama TRA.......
Hovyo kabisa!
Mambo hayako rahisi hivo kama unavyosema.Deni la Tsh billioni 1 si mchezo baba.Ishu si kwamba chuo kitatorokea wapi ishu ni kwamba Wanapaswa kulipa Hela hiyo usipochukua Action unaweza ukawa unachezewa sharubu ndio mamlaka imekuwa kali
 
Back
Top Bottom