EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 13,606
- 21,461
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa 3 katika chuo cha teofilo kisanji mbeya.Katika hali isiyokuwa ya kawaida siku ya terehe 31/1/2018 mageti yote ya kuingilia chuoni yalifungwa na watu wa halmashauri ya jiji la mbeya.
Sababu hasa ya chuo kufungiwa mageti ni kudaiwa mapato na halmashauri ya jiji la mbeya.
Ili ni pigo la pili,pigo la kwanza ni chuo hiki kuzuiliwa kudahili first year mwaka jana kwa kukosa vigezo ambavyo mpaka sasa hawana hivo kuna uwezekano hata mwaka huu 2018 hawatadahili .Kwa matukio haya nabashiri kifo cha chuo hiki.