Chuo cha Taifa cha Ufirishaji kwanini hakina kozi ya udereva wa bodaboda

miambovu

JF-Expert Member
Nov 17, 2016
378
777
Habari wakuu...nimekua nikijiuliza hiki chuo chetu pendwa kwanini hakina kozi ya udereva wa BODABODA ????ina maana haya MAJANGA yanayosababishwa na hawa madereva wetu BODABODA hawayaoni?????naombeni ufafanuzi kutoka Kitengo husika au yoyote mwenye upeo wa hili suala...Ahsanteni!?
 
Acha upumbavu basi we jamaa. Vyuo vya kijijini kwenu hatuvijui sisi. Ufirishaji ndio nini?
 
Back
Top Bottom