Chuo cha St Joseph University cha Dar kinafaa kusoma Engineering?

Xtra Thinking

Member
Joined
Jun 3, 2025
Posts
39
Reaction score
83
Wakuu mm ni mgeni humu Jamii Forums na hii ndo thread yangu ya kwanza kuandika.
Nina shida moja, mm ni mhitimu wa kidato cha sita mwaka huu na nimesoma PCM nimepata Division II ya 10

Physics D
Chemistry C
Mathematics C

Sasa ndoto yangu ni kusoma Mechanical Engineering na hii ndo iko moyoni kuliko zote, nimeapply vyuo vitatu DIT, NIT na MUST lakini kutokana na ushindani ninahofia inawezekana kukosa nafasi kwenye vyuo hivi nataka niapply na St Joseph University of Tanzania.
Naomba mnijuze wakubwa zangu hivi ubora wa elimu kwenye chuo cha St Joseph ni mzuri au itakuja kunipa shida muda wa kutafuta ajira maana nasikia kuna vyuo Bongo hapa kupata ajira ni ngumu mara mbili zaidi
Naomba uzoefu wenu wanajf. Hili chuo ni kizuri?
 
Kama lengo lako ni kutaka kusoma chuo fulani mahususi ili uje uajiriwe kirahisi basi nakushauri kwa moyo mkunjufu kabisa nenda VETA, ipo siku utakuja kunishukuru.

Kwanini?
Mazingira ya sasa ya soko la ajira, hakuna chuo chochote hapa nchini au nje ya nchi kinaweza kukupa uhakika wa hata 1% ya kuja kupata ajira ikiwa utakuwa mhitimu wake.
 
Ahsante kwa ushauri mkuu lakini nataka nikasome chuo kwanza
 
Kama lengo lako ni kutaka kusoma chuo fulani mahususi ili uje uajiriwe kirahisi basi nakushauri kwa moyo mkunjufu kabisa nenda VETA, ipo siku utakuja kunishukuru.

Kwanini?
Mazingira ya sasa ya soko la ajira, hakuna chuo chochote hapa nchini au nje ya nchi kinaweza kukupa uhakika wa hata 1% ya kuja kupata ajira ikiwa utakuwa mhitimu wake.
Veta ndo itamuhakikishia hiyo 100% ya kupata ajira mkuu?
 
....lakini kutokana na ushindani ninahofia inawezekana kukosa nafasi kwenye vyuo hivi nataka niapply na St Joseph University of Tanzania

ubora wa elimu kwenye chuo cha St Joseph

hizo kauli mbili tayari zishapingana, hakuna chuo pale
wakati niko ud, kuna jamaa alidisco mwaka wa 2 sababu ya gpa, akapokelewa huko st. joseph chap

ila kwa uhakika wa kupata ajira ni Veta
 
Shukrani ngoja niachane nacho
Hapa inabidi nianze kuapply vyuo vingine pia ili nikikosa Mechanical MUST, NIT na DIT nisome kozi nyingine ila tu iwe ya Engineering
Nafikiria pia Computer Science UDOM na Civil Engineering Ardhi
Ahsante kwa ushauri hiko St Joseph ngoja niachane nacho tu

Hiyo VETA mnayosema ina ajira ni hizi ajira za serikalini au ndo kujiajiri?
 
Wakuu mm ni mgeni humu Jamii Forums na hii ndo thread yangu ya kwanza kuandika.
Nina shida moja, mm ni mhitimu wa kidato cha sita mwaka huu na nimesoma PCM nimepata Division II ya 10

Physics D
Chemistry C
Mathematics C

Sasa ndoto yangu ni kusoma Mechanical Engineering na hii ndo iko moyoni kuliko zote, nimeapply vyuo vitatu DIT, NIT na MUST lakini kutokana na ushindani ninahofia inawezekana kukosa nafasi kwenye vyuo hivi nataka niapply na St Joseph University of Tanzania.
Naomba mnijuze wakubwa zangu hivi ubora wa elimu kwenye chuo cha St Joseph ni mzuri au itakuja kunipa shida muda wa kutafuta ajira maana nasikia kuna vyuo Bongo hapa kupata ajira ni ngumu mara mbili zaidi
Naomba uzoefu wenu wanajf. Hili chuo ni kizuri?
Kwa st joseph pale ada ni kubwa sana . Sema kwenye kufundisha wapo vizuri wale ma lecture wao wa kihindi 😂. Lakin usiwaze kwa hayo matokeo yako utapata dit na uhakika kabisa must i aweza ikwa changamoto

lakin pia niomeona umepewa ushauri wa kupiga civil engineering kwa pale aridhi mwisho wa cut -off point ni 7 kwa civil na wew unatano ww nakushauri kama unataka civil engineering omba udsm utapata pale aridhi ilo 10k linaweza potea bure,

pia saut ya mwanza wanatoa civil engineering kwa ada yake siyo kubwa sana lakin mazingira ya kujifunzia siya jui kabisa kama ungeweza bata mtu akupe experience ingekuwa fresh.

Kuna DMI wenyew pale wanatoa bachelor of mechanical and marine engineering ukiombs pale utapata .
 
Shukrani sana kwa ushauri
Unajua UDSM sikuapply maana watu wanasema pale Division II kupata sio rahisi
Ila ngoja niapply, kama hiyo 10K ikienda bure basi, walau nilijaribu
 
Back
Top Bottom