EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,177 Reaction score 25,512 Jan 20, 2016 #1 Habarini Wakuu! Kuna ndugu yangu anahitaji kusomea uigizaji (Actor), sasa nataka kujua Chuo cha Sanaa Bagamoyo vile kinatoa course na kuhusu pia gharama zao. Mwenye ufahamu wa hili tujuzane jamani, atakuwa amenisaidia sana. Nawasilisha.
Habarini Wakuu! Kuna ndugu yangu anahitaji kusomea uigizaji (Actor), sasa nataka kujua Chuo cha Sanaa Bagamoyo vile kinatoa course na kuhusu pia gharama zao. Mwenye ufahamu wa hili tujuzane jamani, atakuwa amenisaidia sana. Nawasilisha.