Emmanuel180
JF-Expert Member
- Dec 17, 2019
- 326
- 627
duuuh!! "MDOGO ANG"Hellow kwenye hizi selection za diploma mdogo wangu kachaguliwa dar es salaam police academy medical lab hiki chuo kiko waaap kwa dar mwenye kukifahamu vip mazingira yake yanafana?
Hiko chuo kipo katika chuo cha Maofisa wa Polisi maarufu Police collage kule kilwa road .hiko chuo kinacho hospital kubwa inayoitwa Kilwa Road ni hospital ya rufaa kwa ufupi mpe hongera .maana huyo uhakika wa ajira huko maana Hicho chuo wataalamu iliyowazalisha Wengi wanaajiriwa na Wizara hiyohiyo labda akatae mwenyewe.Hellow kwenye hizi selection za diploma mdogo wangu kachaguliwa dar es salaam police academy medical lab hiki chuo kiko waaap kwa dar mwenye kukifahamu vip mazingira yake yanafana?
Hongera Sana Mkuu wewe na mdogo wako. Maelezo ya wadau yamenikosha.Hellow kwenye hizi selection za Diploma mdogo wangu kachaguliwa Dar es Salaam Police Academy Medical lab. Hiki chuo kiko wapi kwa Dar?
Mwenye kukifahamu vipi mazingira yake yanafana?
Amin sana aseeHongera Sana Mkuu wewe na mdogo wako. Maelezo ya wadau yamenikosha.
Nakutafta sana mwanangu pmHiko chuo kipo katika chuo cha Maofisa wa Polisi maarufu Police collage kule kilwa road .hiko chuo kinacho hospital kubwa inayoitwa Kilwa Road ni hospital ya rufaa kwa ufupi mpe hongera .maana huyo uhakika wa ajira huko maana Hicho chuo wataalamu iliyowazalisha Wengi wanaajiriwa na Wizara hiyohiyo labda akatae mwenyewe.
Kaka nakuomba PmMpe hongera.
Huyo ajihesabu ameshapata ajira.