chuo cha muziki (audio production)

CK Allan

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2013
Posts
2,784
Reaction score
6,178
naomba msaada wa chuo au hata mtu ambako naweza kujifunza audio production
na music reading
kwa mwezi mmoja wa 12 mwaka huu, kwa gharama nafuu.

naomba msaada.
 
youtube kuna training kibao za kiswahili na kiingereza...

kama unajua kiingereza ndio zipo za kila stage.. utajifunza kwa wataalamu kwa gharama ya bando

naomba msaada wa chuo au hata mtu ambako naweza kujifunza audio production
na music reading
kwa mwezi mmoja wa 12 mwaka huu, kwa gharama nafuu.

naomba msaada.
 
Nenda Tabata karibu na Tabata Posta .Shule inaitwa Alphabeta. Au wasiliana nami nikuelekeze nilisoma pale muda mfupi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…