K Kidooo New Member Joined May 19, 2021 Posts 2 Reaction score 0 May 20, 2021 #1 Ndugu zangu Mimi nimehitimu chuo cha Mkolani Foundation Organization baadae nilikuja kusikia chuo hicho kilifungiwa na serikali, nilikua napenda kuuliza mimi niliyehitimu kabla ya kufungiwa siwezi ajiriwa serikalini?
Ndugu zangu Mimi nimehitimu chuo cha Mkolani Foundation Organization baadae nilikuja kusikia chuo hicho kilifungiwa na serikali, nilikua napenda kuuliza mimi niliyehitimu kabla ya kufungiwa siwezi ajiriwa serikalini?
mulwanaka JF-Expert Member Joined Feb 19, 2017 Posts 5,260 Reaction score 12,867 May 20, 2021 #2 Ulisoma kozi gani kabla hakija fungiwa? Hiyo kozi ilikua inatambulika na serikali.
K Kidooo New Member Joined May 19, 2021 Posts 2 Reaction score 0 May 20, 2021 Thread starter #3 mulwanaka said: Ulisoma kozi gani kabla hakija fungiwa? Hiyo kozi ilikua inatambulika na serikali. Click to expand... Ndyo nilisoma medical attendant na ilikuwa inatambulika
mulwanaka said: Ulisoma kozi gani kabla hakija fungiwa? Hiyo kozi ilikua inatambulika na serikali. Click to expand... Ndyo nilisoma medical attendant na ilikuwa inatambulika
mulwanaka JF-Expert Member Joined Feb 19, 2017 Posts 5,260 Reaction score 12,867 May 20, 2021 #4 Mbona hilo halina mshikira kwenye website ya nacte itakuepo tu.