Coman Ruzina
New Member
- Jul 31, 2019
- 3
- 0
Ndugu zangu samahni kwa usumbufu ila naomba kama kuna mtu anafahamu lolote kuhusu course ya health Information science (diploma), ajira yake ni ipi, uwepo wa ajira , salary yake and any other helpful information, naomba sana msaada wako.
Pia kama kuna mtu anakifahamu chuo cha lake zone health institution naomba pia information zake
nimepangwa hapo na nacte. MSAADA PLEASE
Pia kama kuna mtu anakifahamu chuo cha lake zone health institution naomba pia information zake
nimepangwa hapo na nacte. MSAADA PLEASE