Chuo cha kupambana na ugaidi chafunguliwa Ivory Coast

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,005
9,872
Wanajeshi

Chuo cha kimataifa cha kupambana na ugaidi kimefunguliwa karibu na mji wa Abidjan huko Ivory Coast.

Chuo hicho kinachofahamika kama AILCT, kilifadhiliwa na Ufaransa na Muungano wa Ulaya ,EU, na nchini zingine kinalenga kusaidia eneo hilo kukabiliana na wanamgambo wa kijihadi.
Hafla ya ufunguzi wake iliongozwa na Waziri Mkuu wa Ivory Coast, Waziri wa Ulinzi wa nchi hiyo na Waziri wa Mambo ya nje wa Ufaransa.

Chuo hicho ambacho kimejengwa eneo lenye minazi mingi karibu kilo mita 80 kutoka mjini Abidjan, kitatumika kutoa mafunzo ya kijeshi.
Wanajeshi

AFP
 
Hivi n kumaanisha nchi zote
Zenye nguvu ya kijesh zmeshindwa
Kabsa kuungana kumaliza hawa wanamgambo??
 
Haina haja ya kupata gharama zooooote hizo,
Ni kiasi tu cha kuamua kuukubali ukweli na kuondoa chuki na kutenda uadilifu basi shughuli imeisha
 
Back
Top Bottom