James Okeke
Member
- Aug 27, 2018
- 27
- 20
Aende sua na hyo HotikachaHapa nimepewa kazi ambayo naona imenishinda ya kumshauri mdogo wangu aliepewa option na TCU kuchagua kati ya Tax Management (CHUO CHA KODI) au Horticulture SUA. Ushauri uzingatie soko la ajira. Ahsanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app
aende sua kusoma horticulture (kilimo cha mboga mboga na matunda)Hapa nimepewa kazi ambayo naona imenishinda ya kumshauri mdogo wangu aliepewa option na TCU kuchagua kati ya Tax Management (CHUO CHA KODI) au Horticulture SUA. Ushauri uzingatie soko la ajira. Ahsanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama huna undugu na JIWE achana na hayo ma kodi.Hapa nimepewa kazi ambayo naona imenishinda ya kumshauri mdogo wangu aliepewa option na TCU kuchagua kati ya Tax Management (CHUO CHA KODI) au Horticulture SUA. Ushauri uzingatie soko la ajira. Ahsanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tax management akimaliza hawezi kujiajiri ila horticulture anajiajiri kwenye kilimo happ mkuu kazi ni kwakoHapa nimepewa kazi ambayo naona imenishinda ya kumshauri mdogo wangu aliepewa option na TCU kuchagua kati ya Tax Management (CHUO CHA KODI) au Horticulture SUA. Ushauri uzingatie soko la ajira. Ahsanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app