Chuo cha kilimo

Chuo cha kilimo

vacyy

Member
Joined
Sep 26, 2017
Posts
65
Reaction score
25
Wakuu hivi kunachuo cha kilimo tanzania au nje ya tanzania naweza kusoma online?
 
SUA sidhani, bado hawajakua tayari kwa hilo. Mwalimu Julius K. Nyerere University of Agriculture and Technology (Butiama) hawa hata haijulikani kama serikali itawapa kibali na kuwatengea fungu la kuanza kutoa huduma ya kawaida achilia mbali online courses. Check OUT huenda wakawa na courses zenye uhusiano na kilimo.
 
Back
Top Bottom