Chui mnyama
Member
- Apr 2, 2017
- 69
- 34
Wadau mdogo wangu anataka kujoin chuo cha journalism ngazi ya cheti. Sasa sijajua chuo kipi kizuri na muhula wake unaanza lini ada yake ni kiasi gani? Na qualification zake. Naombeni tujuzane wadau wadau.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app