W wanjizi Member Joined Jun 30, 2016 Posts 14 Reaction score 0 Sep 10, 2016 #1 Naomba mawasiliano kwa yeyote aliye wahi kusoma chuo cha selikali za mitaa hombolo Dodoma hivi karibuni.au kwa anaye kifahamu vizuri namba yangu ni 0752006344.
Naomba mawasiliano kwa yeyote aliye wahi kusoma chuo cha selikali za mitaa hombolo Dodoma hivi karibuni.au kwa anaye kifahamu vizuri namba yangu ni 0752006344.
A ankoekka Member Joined Jul 23, 2016 Posts 85 Reaction score 21 Sep 10, 2016 #2 Pia, ingia kwenye website ya chuo, utapata taarifa zaidi uzitakazo.
Baba Ndubwi JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 1,276 Reaction score 2,059 Sep 10, 2016 #3 we google tuu hao google watakutajia hadi mtaa kilipo na namba zao watakupa hadi majina ya wakuu na namba zao nadhani!!
we google tuu hao google watakutajia hadi mtaa kilipo na namba zao watakupa hadi majina ya wakuu na namba zao nadhani!!