Chuo cha Dodoma (UDOM) Kipo Kisiasa zaidi

Chuo cha Dodoma (UDOM) Kipo Kisiasa zaidi

Wahadhir wanaofundisha udom weng sana wametoka udsm na hata viongoz wake. Kwa hiyo mleta mada unataka kuniambia udssm mlikuwa hampat elimu ilio bora? Unapoleta mada hapa inakubid ujipange na sio kukurupuka tu.
 
Tuheshiane jamani, achen ushabiki, elimu bora ni ile inayomkomboa aliyesoma aye akaitumia kuleta abadliko chanya kwenye jamii na familia yake,
 
Hivi UDOM ndo nini? its obvious ni chuo cha kata,naona hata wahitimu wake wanavyotokwa povu na mitusi hapa inadhihirisha kweli wanaoenda huko ni masalia ya wale waliofaulu Tz.
Ni masalia kwani nayaona hata huku ofisini yanavyoboronga na kutojiamini,na unafiki na ushamba na ukilaza.
 
Udom ni kikubwa kwa majengo ila siyo kitu kingine, na ukweli kimejaa siasa, kwa alisoma hapo na hilo halioni basi hata vyeti vyake awashie moto
 
Back
Top Bottom