BHULULU
JF-Expert Member
- Jun 28, 2012
- 4,994
- 2,044
Eti unasema??Acha uongo....be frank, m nimesoma pale waadhili sio competative hata kidogo!!
Eti unasema??Acha uongo....be frank, m nimesoma pale waadhili sio competative hata kidogo!!
Acha uongo....be frank, m nimesoma pale waadhili sio competative hata kidogo!!
Kumbe na wewe kakutatiza alivyoandika utadhani div 5. Kwa mtindo huu, inanifanya nianze kuona hoja mleta mada ina nguvu kama wahitimu wenyewe ndo hawa, eti Wahadhiri yeye kaandika waadhili, si ndo majanga haya.
sema wahadhiri wa fani yako pia inategemea kichwa cha mtu wangapi wanakua na wadahili wazuri bado wanakua vilaza .....M..K..U,NDU WAKO..
UDOM chuo kikuu kikubwa sana Tanzania na Africa Mashariki...
Kuna tetesi za muda mrefu kuwa chuo hiki kiko "KISIASA".
Wadau kwa wanaoujua ukweli naomba watujuze hapa. Pia kuna
ishu ya wanachuo wanaodahiliwa chuoni hapo ya kuwa ni wale waliokosa
nafasi katika vyuo vingine,,,Je hili nalo linaukweli wowote???
Ninaomba niseme hivi, utendaji kazi na ufaulu kwa elimu ya ngazi ya juu kwa kiasi kikubwa sana hutegemea sana juhudi za mtu binafsi, na kidogo sana contribution ya mwalimu. What the University can do ni kumtengenezea mtu culture flani ya kusoma, au kufanya kazi.
Personaly ninaweza kusema UDOM ipo mazingira ambayo automatically yanatengenezea watu culture ya kushirikiana, kusoma na bidii ambayo later inakua translated kwenye kazi.
Nikianza academically, kuna jamaa zangu wa UDOM walisoma postgraduate chuo cha diplomasia pamoja nawanafunzi wa vyuo vingine (mzumbe, tumaini, UD n.k) wanafunzi esp. Wa ud wakawa wanawanyanyapaa kuwa udom inawapa ma g.p.a. ya lumbesa, lakini at the end of the day the three best students, wote walitoka chuo cha udom( academic year 2011-2013 PGD ED). Sua vivyo hivyo, kuna vijana wengine ndio wanafanya masters za agriculture economics wengine rural dvpt, wame perform vizuri sana kwenye course work, kwa ninaowafahamu wote wana g.p.a above 4, wengine wanafanya vizuri sana kwenye ud. Sasa, kama ni vilaza na wanapewa marks, inakuaje hilo linaendelea mpaka kwenye vyou vingine?
Tukija kwenye kazi, pia wanaperform vizuri sana. Nina mifano hai, ambapo watu wanaingia kwa muda mfupi na wanakua highly promoted.
Hii kasumba ya kizamani sana aisee. Wahadhili hao wengi wametokea kwenye vyuo hivyo ambavyo mnavivyovisifia, of which i find to be ironic
sema wahadhiri wa fani yako pia inategemea kichwa cha mtu wangapi wanakua na wadahili wazuri bado wanakua vilaza .....M..K..U,NDU WAKO..
M..K..U..N..DU WAKO,..hujitambui ww
sasssUkitaka kufanikiwa fasta TZ,anzisha chuo au dhehebu chama cha siasa au dawa za kienyeji kwa jina la yule wa msalabaa
UDOM ni chuo cha kata... Nikiwa UDSM 2009 Tulikiita hivyo na nadhani mpaka leo ni cha kata.
Acha uongo....be frank, m nimesoma pale waadhili sio competative hata kidogo!!
Acha uongo....be frank, m nimesoma pale waadhili sio competative hata kidogo!!
UDOM..??? Lakini katika vyuo vya kata bora nadhani UDOM ndo chuo bora cha kata. Au siyo wadau??