Chuo cha Dodoma (UDOM) Kipo Kisiasa zaidi

Chuo cha Dodoma (UDOM) Kipo Kisiasa zaidi

Mandla Jr.

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2013
Posts
3,098
Reaction score
631
UDOM chuo kikuu kikubwa sana Tanzania na Africa Mashariki...
Kuna tetesi za muda mrefu kuwa chuo hiki kiko "KISIASA".

Wadau kwa wanaoujua ukweli naomba watujuze hapa. Pia kuna ishu ya wanachuo wanaodahiliwa chuoni hapo ya kuwa ni wale waliokosa nafasi katika vyuo vingine,,,Je hili nalo linaukweli wowote?
 
we hoja yako ndo iko kisiasa zaidi, wako watu wamedahiliwa pale wana qualifications zaid ya hao wa udsm, na vyuo vngne. Pia tunao wafanyakazi weng huku maofisn kutoka udom wanafanya kaz vzuri kuliko hao wengne
 
Kama una demu Udom andaa ARV za kutosha ili zikueskoti kimtindo tumiaka tuchache!
 
Udom hudahili wanachuo wenyewe au ni TCU ?Hawa div 5 sijui vp?
 
Acha uongo....be frank, m nimesoma pale waadhili sio competative hata kidogo!!
 
UDOM..??? Lakini katika vyuo vya kata bora nadhani UDOM ndo chuo bora cha kata. Au siyo wadau??
 
sasssUkitaka kufanikiwa fasta TZ,anzisha chuo au dhehebu chama cha siasa au dawa za kienyeji kwa jina la yule wa msalabaa
 
Una maanisha competent??

Kumbe na wewe kakutatiza alivyoandika utadhani div 5. Kwa mtindo huu, inanifanya nianze kuona hoja mleta mada ina nguvu kama wahitimu wenyewe ndo hawa, eti Wahadhiri yeye kaandika waadhili, si ndo majanga haya.
 
Acha uongo....be frank, m nimesoma pale waadhili sio competative hata kidogo!!

sema wahadhiri wa fani yako pia inategemea kichwa cha mtu wangapi wanakua na wadahili wazuri bado wanakua vilaza .....M..K..U,NDU WAKO..
 
UDOM chuo kikuu kikubwa sana Tanzania na Africa Mashariki...
Kuna tetesi za muda mrefu kuwa chuo hiki kiko "KISIASA".

Wadau kwa wanaoujua ukweli naomba watujuze hapa. Pia kuna
ishu ya wanachuo wanaodahiliwa chuoni hapo ya kuwa ni wale waliokosa
nafasi katika vyuo vingine,,,Je hili nalo linaukweli wowote???

M..K..U..N..DU WAKO,..hujitambui ww
 
Inaonekana kidogo huna uelewa, udom haidahili wanafunzi iyo ni kazi ya TCU, nenda pale kuna course anasoma mpaka mtu mmoja sababu ndo aliyekidhi vigezo kati ya wengi waliyoomba!
 
Back
Top Bottom