Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,301
- 9,809
Mdogo wangu ana Three ya 13 ya CBG tunaweza kupata wapi chuo cha diploma course yoyote ya afya
Hajadunda hapo mzee...Kafaulu vizuri.Mnaziba nafasi za watu wa form 4. Mnakwenda A level mnadunda mnarudi kutumia vyeti vya form 4
Vyuo viko vingu mkuu...jaribu kuchacharika asee, muda unayoyoma sana.Mdogo wangu ana Three ya 13 ya CBG tunaweza kupata wapi chuo cha diploma course yoyote ya afya
Vyuo viko vingu mkuu...jaribu kuchacharika asee, muda unayoyoma sana.
Jaribu kucheki website za Bugando, KCMC, MUHIMBILI, RUCU, ST JOHN, UDOM...
Ingia Website ya NACTE kaangalie vyuo vya Afya (Guidebook)
Fanya hima maana muda umekutupa kweli...Yaani, jaribu bahati tu[emoji134]
Au cheki na vinavyotangazwa kwa TV