Chuo cha Ardhi Tabora

Jayonepey

JF-Expert Member
Jul 6, 2011
320
151
Habari zenu wadau, naomba kuuliza iwapo mtu aliyemaliza kidato cha nne anaweza kusoma chuo cha Ardhi cha Tabora, na ni kozi gani mtu akimaliza anapewa ajira moja kwa moja
 
Mkuu pale wanatoa certificate ya Landmanagement and Valuation,graphic and design na Cartography.Pia wanatoa Diploma ya Cartography na kozi zote ni miaka miwili.Kuhusu ajira ya moja kwa moja hiyo wakati chiligati alipokuwa waziri aliahidi hivyo ila bado ni hadithi tu labda kwa badae sana si unajua siasa inaingilia taaluma za watu.Ushauri wangu kuna chuo pale UBUNGO PLAZA kinaitwa MUST COLLEGE kinatoa cerificate ya SPATIAL TECHNOLOGY(ni taaluma inayohusiana na Ardhi) na chuo kiko chini ya VETA ukimaliza unajiunga moja kwa moja na chuo cha TABORA ama MOROGORO unachukua Diploma.
 
Asante mkuu
 
Sema mkuu, ebwanae hicho chuo ambacho umekitaja hapo juu na nimejaribu kukiwekea Red colour, unaweza ukanipatia information zao vizuri kama vile Tution fees, accomodation & meals etc. Au unipatie contact za Management ya hicho chuo. Kazi njema mkuu.
 
Back
Top Bottom