tembophd Senior Member Joined Jun 3, 2016 Posts 113 Reaction score 34 Jun 4, 2016 #1 Wana JF naomba kujua kwa mtu ambaye kasoma computer application in certificate anaweza kusomea nn na chuo gani kipo vizuri.... Msaada tafadhar
Wana JF naomba kujua kwa mtu ambaye kasoma computer application in certificate anaweza kusomea nn na chuo gani kipo vizuri.... Msaada tafadhar
Mzee kifimbo cheza Member Joined Jul 28, 2015 Posts 67 Reaction score 49 Jun 4, 2016 #2 Mjukuu wangu nakushauri ukasome moja ya vyuo hivi 1. Chuo kikuu Mzumbe 2. Chuo kikuu Dar es salaam Tembelea tovuti zao kujua utaratibu wa kujiunga site.mzumbe.ac.tz www.udsm.ac.tz Asante Babu Kifimbo Cheza
Mjukuu wangu nakushauri ukasome moja ya vyuo hivi 1. Chuo kikuu Mzumbe 2. Chuo kikuu Dar es salaam Tembelea tovuti zao kujua utaratibu wa kujiunga site.mzumbe.ac.tz www.udsm.ac.tz Asante Babu Kifimbo Cheza