Chuo bora tanzania

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Habari zenu wana jf!kuna suala flan hua lnantatza sana,huku mtaan kwetu huwa kuna tetes znaseme kwamba hapa tanzania chuo chenye ubora kuliko vyote ni udsm kikifuatiwa na sua,muhimbili na ardhi bt kuna taarfa zngne znasema chuo bora hapa tz ni mzumbe, tumaini,saut,ifm,muccobs,kcmc,bugando na dit.sa hli lna2changanya sana sisi vijana ambao 2natarajia kujiunga na vyuo vkuu hiv karbun kwamba ni wap pa kuweza kupata elimu bora!!naomben mnieleweshe ndugu zangun
 
Ubora huo katoa nani? Na kwa vigezo gani? Maana ninachofahamu mimi nikuwa wakati mwingine ubora wa chuo waweza kupimwa kwa idadi ya wahadhiri, madarasa(lecture halls) pamoja na vigezo vingine bila kuzingatia idadi ya wanafunzi na mhadhiri, maoni ya wadau kama kweli rasilimali zilizopo zinatumika sawasawa.
wakati mwingine wenye kuweka viwango ni wavivu hawafiki kwenye vyuo vyote. Utaamua mwenyewe!
 
Acha kujisumbua, bora katika nini!? Kama unataka kusoma uhazili chuo bora ni Magogoni na sasa kina matawi Mtwara na Tabora, naelewa umemaliza shule na japo hujaweka matokeo yako, ninakushauri kuwa makini wakati wa kuomba udahili, chagua kozi zinazolingana na alama zako za ACSEE au CSEE.

Ukongwe unaweza kuw na maana pale uchanga unapokuwa haupo
 
Back
Top Bottom