Roger Ramer
Member
- Feb 4, 2017
- 34
- 15
Kasome DITNataka kuchukua diploma ya mechanical engineering na nmechaguliwa DIT na NIT. Kozi ya diplo kwa waliomaliza form6 kama mimi ni miaka miwili NIT lakini DIT ni lazima miaka mitatu. Naombeni ushauri wenu nikasome wapi?
Baada yaKasome DIT
Kwan ugumu wake nini hasa?DIFFICULT INSTITUTE OF TECHNOLOGY (DIT) IS THE BEST ONE
Hivi nkimaliza diplo DIT halaf nkaomba bachelor chuo kingine ntasoma bachelor miaka mitatu?Kasome DIT
ni a.k.aBaada ya
Kwan ugumu wake nini hasa?
Hivi nkimaliza diplo DIT halaf nkaomba bachelor chuo kingine ntasoma bachelor miaka mitatu?
Aiseee pale napaogopa balaaaDIFFICULT INSTITUTE OF TECHNOLOGY (DIT) IS THE BEST ONE
Kwani papoje?Aiseee pale napaogopa balaaa
If and only if unarudi vyuo vinavofanana na dIT the likes of Udsm miaka ni minneukiwa na diploma ukifata kufanya degree ya engineering ambayo ni miaka 4 unaazia mwaka wa pili,so unasoma miaka 3
yuo vinavyofanana na DIT ni kama vp?If and only if unarudi vyuo vinavofanana na dIT the likes of Udsm miaka ni minne
Hiyo a.k.a imetokana na ukwel uliopo kwamba wengi wanasema pale ni pagumuni a.k.a
ATC na MUST . I hope hujafikiria in negative way .yuo vinavyofanana na DIT ni kama vp?
Yah..nmekuelewaATC na MUST . I hope hujafikiria in negative way .
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
If and only if unarudi vyuo vinavofanana na dIT the likes of Udsm miaka ni minne