Kama hawajabadili utaratibu huwa kuna intake mbili, moja huwa mwezi wa tatu na nyingine huwa mwezi wa saba kila mwaka, lakini nashauri ni bora ukalenga ile ya mwezi wa tatu mwakani so tuma maombi yako pale wizarani sasa
Dah asante mkuu..nimepata contact zao na nimeongea nao..sasa sijui nianzie wapi mana principal wa pale anasema wao wanafunzi wanaletewa na wizara ya afya[/QU kama ni pale COTC ni PM 2tasaidia zaidi pale panapowezekana pia 2tajaribu kuongea nae prncpal atusaidie kama kuna uwezekano huo coz i knw him kwa ujiran zaidi.
wewe kichwan mtupu,we si ndio discontinued students from university of dodoma due to minimum Gpa, we stupid yani wewe ku-disco na wenzako ndio wasisome, shame upon you!
Mkuu niliona kama hawa HELSB wametoa tamko kuwa waliokosa raundi ya kwanza waombe tena watapewa hasa wale ambao walikuwa na kasoro za kiufundi kwenye fomu zao.