Bornvilla
JF-Expert Member
- Feb 17, 2011
- 924
- 272
Mnapokuwa single kabla ya kuoa ukiwa marafiki au rafiki basi mnaelewana sana lakini once mnapooa urafiki hupungua au mnaweza kugombana. Tatizo hapa ni wanawake kuwa na fitna ndogondogo juu ya rafiki yako au baina ya mke wako na mke wa rafiki yako. Maneno huanza kidogokidogo na mwisho urafiki kuwa mashakani.
Jamani hili binafsi nimeliona kwa jamaa wa karibu. Kama mnapendana sana basi oeni.
Wadau,nawasilisha.
Jamani hili binafsi nimeliona kwa jamaa wa karibu. Kama mnapendana sana basi oeni.
Wadau,nawasilisha.