Chungu tamu na PEPMIS

Chungu tamu na PEPMIS

Ezekiel Nkondoku

New Member
Joined
Mar 24, 2024
Posts
1
Reaction score
1
WALIMU WALIA NA MADARAJA 2025

MFUMO WA PEPMIS ULIOKUWA KWENYE MAJARIBIO UMEWAHUKUMU WASIPANDE MADARAJA.

Walimu wanalalamikia kutokupanda madaraja(P
 
  • Thanks
Reactions: K11
Huo mfumo unadanganya toto nyingi. Mwalimu anatumia mwaka ikimaanisha mpk sasa mwezi wa 6 anatakiwa kuwa na 50% kwenye score na ili upande daraja unatakiwa kuanzia 60% hivyo usipo jiongeza unalia
 
  • Thanks
Reactions: K11
Nadhani kuna waraka ulitolewa. Ushauri kama mkiwatag humu wahusika wangetoa hicho kigezo cha asilimia ili mwenye haki ya kupata daraja apate daraja.


Vinginevyo wameamua kuwakomesha watumishi.

Hii ni kumgombanisha mama anayewapambania watumishi kuwaboreshea stahiki zao na watumishi wenyewe.
 
Back
Top Bottom