Elections 2010 Chunga sana siku ya leo

giraffe

JF-Expert Member
Jun 6, 2010
608
196
Leo wataalam wanasema ukitaka kuzaa mtoto wa kiume mimba lazima itunge siku ya 14
jaman kupitia uzoefu wanga siku kama ya leo katika kila chaguzi chama cha mafisadi uwa wana kesha usiku kucha kugawa pesa uchwala kwa watu ambao wanawaona ni wa upinzani,hii hasa ufanyika vijijini na mjini maeneo ya uswazi,kwahiyo unakuta mtu alikuwa na msimamo wake mzuri hapo nyuma lakini msimamo wake unabadilika ndani ya saa24.kibaya zaid nikwamba wanbadilishana anakupa pesa unampa kitambulisho cha kupiga kura,hii ilitokea bukoba mjini 2005 jamaa alinunua kadi za watu, alippshinda kwa kuonyesha jeuri na dharau jamaa alimwaga kadi zao barabarani watu walikuwa wanagongana usiku wa manane walipo kwenda kuchukua vitamburisho vyao. ilikuwa ni aibu kubwa sana.
 
Back
Top Bottom