Chunga na jihadhari na kinywa chako@"

Chunga na jihadhari na kinywa chako@"

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,023
Reaction score
36,881
Ni kukumbushana tu wapendwa nimeona nichukue dk 6 kuwakumbusha wapendwa
wapo watu wengi leo hii wanateseka kutokana na kinywa...mdomo ni kitu ambacho unaweza kuleta mauti ama uhai kama biblia inavyosema..leo hii ndoa nyingi zinapotea na kusaramabatika sababu ya midomo
wapo watu maofisini wanafukuzwa ama kuachishwa kazi zabau ya mdomo..zipo nafasi nyingi za kazi mtu anauwezo wa kupata kwakuwa mjomba yuko pale anajitangazia kwenye interview anaingia nakushia kusoma majina ya wenzako..hii ni kinywa .....jiooni ya reooo narudia jioni ya reooo aijalishi wapi umekosea bado mungu anakupenda urekebishe kinywa chako rekebisha mdomo wako ndio maana hesabu 14:28 inasema lolote mtakalotamka nafisini mwenu nakwenda huyu ni mungu ...so jioni ya reo wapendwa aijalishi uko sehemu gani ya kazi uko nafasi gani ya ndoa jitahidi ulinde kinywa chako kinywa kinatengeneza mauti na uhai kinatengeneza utajiri ama umaskini kinywa kinatengenezabaraka ama laana

wapo walioitwa uttotoni na pengine na wewe ushaita wakwako mwanao mbwa weee kichwa kama panzi alafu asipofaulu unajiuliza sasa toka lini panzi mbwa wakafaulu mitihani jamani ..wazazi tuwe makini na sie tujue jinsi gani ya kuwatunza watoto wetu na vinywa vyetu ...

ndugu mpendwa maombi yangu usiku waleo mungu akasemahe kinywa chako na yale mabaya yote yaliotokea ama kusema huko nyuma..nasema hili kuna watu wanateseka ndoa zao sababu ya maneno ya babu zaoo kwa baba zao ama mama zao..sasa usipojua jinsi ya kujitoa kwenye hizi laana za mdomo utaishia kubadilisha mabibi ama wanaume kama sketi utaishia kuhama kila kampuni hata ulipwe million kumi we uoni ya maana kwako ama inakusaidia maana kuna pepo la kupoteza linakutafuta haya sali sasa

sema bwana yesu ninakuja mbele zako ninakiri kufanya uovu kupitia maneno ya mdomo wangu.ninaomba leo hii unisamehe dhambi zangu zote nilizofanya kwa kuwaza kunena na kutenda nisamehe dhambi za ukoo wangu ..nalaana kila laana ya ukoo iliosemwa kwa wazazi wangu ninafuta kilamaneno mchafu ya lioongelewa juu yangu juuya wazazi wangu nami nahifadhi watoto wangu kwa jina la yesu akuna adui atakewagusa sema amen kama waamini

nakuombea faraja kuanzia leo hii mdomo wako ukasema maneno ya baraka uovu usiwe juu yako chochote kichafu utakachoweza basi kikatokee haja kubwa ama ndogo na sio mdomoni mwako
pokea jumatano ya faraja

wasalaam
appostle -pdidy
 
aaaameni nimeipenda sana sala hii kwani imenifungua nafsi yangu! nashukuru sana na MUNGU aendelee kukupa baraka! ameni
 
Back
Top Bottom