Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,682
Teh sayoo anaweza kuwa sahihi maana watu wenye vipara wana akili saana kwa hiyo anaona huu ni utumbo [emoji16]Ha ha. Sijui anataka thread ya aina gani
Acha weee....tunalainika kwa maneno na pesa
kulegezaAcha weee....
Mimi najua hapo ulipo mwenyewe Mlaini kazi ya maneno na pesa ni kukulegeza tu
hahhaha bamdogo niache
Ha ha ha umeona eeMkuu hapa umemaliza maana nilitaka kudai picha
Kwani hiyo riwaya haujawahi kuisoma mamdogo?itakua ni mapenzi tu huko chumbani kwa dereva wa bajaji haiwezekani huyo asitulie hivyo
Tumpeleka jukwaa la sayansi ajira na diniTeh sayoo anaweza kuwa sahihi maana watu wenye vipara wana akili saana kwa hiyo anaona huu ni utumbo [emoji16]
Kidogo bwana mamdogo na mimi nataka kurusha rusha miguu kama model wa daladalahahhaha bamdogo niache
HahaTumpeleka jukwaa la sayansi ajira na dini
sijaisoma nilisoma hii wowowo la kajala teh teh ila itabidi niitafute huyo dereva wa bajaji ana mambo gani matamuKwani hiyo riwaya haujawahi kuisoma mamdogo?
Hapa umeitendea haki madaHa ha ha umeona ee
Ha ha ha yani we daby ni mwehu hahahah zKidogo bwana mamdogo na mimi nataka kurusha rusha miguu kama model wa daladala