Chumba self mwenge ,mwananyamala kijitonyama or mbezi beach

ma jery

Senior Member
Jun 15, 2011
171
64
Mimi ni mdada naitaji chumba self maeneo hayo hapo juu sh 50000 mbili kwa laki moja kwa mwezi sehemu iwe nzuri karibu na barabara pawe na maji na umeme pls nyumba iwe ya kisasa kiasi
 
Mimi ni mdada naitaji chumba self maeneo hayo hapo juu sh 50000 mbili kwa kaki mbili sehemu iwe nzuri karibu na barabara nyumba iwe ya kisasa thax

Ila kwa vigezo unavyotaka bado hela yako ndogo

mtafute huyu dalali wa mbezi beach atakuwa na hich chumba 0715060183
 
Mimi ni mdada naitaji chumba self maeneo hayo hapo juu sh 50000 mbili kwa laki moja kwa mwezi sehemu iwe nzuri karibu na barabara pawe na maji na umeme pls nyumba iwe ya kisasa kiasi

mimi ni mkaka nina nyumba kubwa naishi peke yangu kijitonyama njoo nikupe chumba ndani kwa ndani. kwa pesa yako huwezi pata nyumba dar es salaam hii.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom