Habari Wadau.
Nauza chumba kimoja
chenye full tiles na choo
ndani. Kodi ni 100000 kwa
mwezi nmekilipia miezi
mitatu hivyo nirudishie
200000/- ya miezi miwili, wa
nane na tisa. Ukilinilipa wiki
hii utaweza kuhamia na
kukaa bure mwez huu
mpaka utakapoanza mwez
wako wa nane.Kitanda na
godoro vyote utavikuta
ukilipia, ni vya chumba. Chumba kipo eneo salama ndani ya geti.
Atakayehitaji naomba
anipm.
Nauza chumba kimoja
chenye full tiles na choo
ndani. Kodi ni 100000 kwa
mwezi nmekilipia miezi
mitatu hivyo nirudishie
200000/- ya miezi miwili, wa
nane na tisa. Ukilinilipa wiki
hii utaweza kuhamia na
kukaa bure mwez huu
mpaka utakapoanza mwez
wako wa nane.Kitanda na
godoro vyote utavikuta
ukilipia, ni vya chumba. Chumba kipo eneo salama ndani ya geti.
Atakayehitaji naomba
anipm.