Chumba na sebule vinatafutwa

island

JF-Expert Member
Nov 26, 2013
869
1,000
Kwa mwenye navyo, elekezi n.k. Vinahitajika chumba na sebule ikiwa self itakuwa poa sana. Mitaa ya gari moja kwenda posta au Mnazi mmoja, Sinza, Kijitonyama, Makumbusho, Kinondoni, Mwenge, Tabata, Kurasini preffered. Budget haizidi 150.
 

serio

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
6,917
2,000
P.m me ur number.. Kipo savei 180k. Chumba self, sebule na jiko.. Free electricity and water for the first three months.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom