KRISTIAN P
JF-Expert Member
- Feb 16, 2013
- 359
- 69
Mkuu ukipata 20*20 pahala unishtue na mimi make hizi kodi tutatoana roho.Kutamka bei ni rahisi sana...300,000/=chumba na sebule 2016 tukifika 2025 si'itakuwa 800,000/=?Hapana aisee mtu ukiwa na miguu yako 20×20 somewhere bora ukajenge hapo police post uishi maana hii sasa ishekuwa balaa.
150k kwa vyumba vingapi mkuu?Kwa kodi hiyo awamu hii ya hapa kazi tu utasubiri sana mkuu. Wakati hapa hapa sinza madukani kuna Manyara lodge inapangishwa na vyumba ni master bei 150000 tu kodi miezi 6.
Mkuu ukipata nyumba sehemu wanapangisha kimara huko nishtue au kauwanja ka 20*20 kujenga make hzi kodi hatutaweza.Madalali hawajui kabisa biashara ya Nyumba.
Eti laki 3. * 12 = 3,600,000/-
Hiyo 3.6 unapata kiwanja chanika na kuanza kujenga.
Hela za dili asaivi hamna.
Tena vijana na watu wazima nyumba self container 2 bedrooms zipo Kimara,Gari mwendokasi,maji yapo ,achana na Sinza ,hiyo ilikuwa zamani wakati wa madili ya bandarini!
Dalali ndo maana tunasema mlipe kodi,mfanye kazi,na nyie madalali ndo mnashinda vijiweni siku nzima mnajua nani anakaa wapi na anafanya kazi wapi,yupo safari na anatudi lini,Siku Zote wizi ukitokea pahala first suspect huwa nawaambia Polisi ni madalali wa eneo husika.
Mfanye kazi zama za Yakhe zishapita!
Hongera.kweli kabisa..mkuu..mie nimejijengea kabanda kangu kwa nyuma ya kiwanja changu kwa same spec . kwa 5 mil..yani napumua..niliwaza nijivutie kigarii au nirekebishe ki gofu cha site,,
Laki ndio bei halali kwa hadhi hiyo. dalalitz mnadhulumu watu kwa ulanguzi muufanyaoBanda jipya la Uwani lenye Chumba na Sebule na Choo chake cha ndani (Sio masta) linapangishwa Sinza.
Nyumba ina Tiles, Gypsum na Dirisha za Vioo. Na ipo na Parking kwa ajili ya Gari moja.
Eneo ni Sinza Madukani/Kijiweni, Jirani na Ofisi za Magazeti ya kampuni ya Habari.
Kodi: Tshs. 300,000 (laki tatu) Kwa
mwezi - Ilipwe ya mwaka mzima.
Maulizo au kwa shida yoyote ya nyumba, kupanga, kupangisha, Pamoja na kuuza
Au biashara yoyote nyingine usisite kuwasiliana nami, Simu : +255-714-591548.
.Chumba na Sebule na Choo
Hatari kaka...kama upo serious na kama upo Dar kuna jamaa ana kisehemu chake maeneo ya Kivule anakiuza.nitamuliza kama bado hajauza nitakuPM namba yake muwasiliane.Mkuu ukipata 20*20 pahala unishtue na mimi make hizi kodi tutatoana roho.
nitafutie chumba na sebule nije uko mitaa ya kimara auMadalali hawajui kabisa biashara ya Nyumba.
Eti laki 3. * 12 = 3,600,000/-
Hiyo 3.6 unapata kiwanja chanika na kuanza kujenga.
Hela za dili asaivi hamna.
Tena vijana na watu wazima nyumba self container 2 bedrooms zipo Kimara,Gari mwendokasi,maji yapo ,achana na Sinza ,hiyo ilikuwa zamani wakati wa madili ya bandarini!
Dalali ndo maana tunasema mlipe kodi,mfanye kazi,na nyie madalali ndo mnashinda vijiweni siku nzima mnajua nani anakaa wapi na anafanya kazi wapi,yupo safari na anatudi lini,Siku Zote wizi ukitokea pahala first suspect huwa nawaambia Polisi ni madalali wa eneo husika.
Mfanye kazi zama za Yakhe zishapita!
Mkuu nataka chumba chang'ombe.Chumba na Sebule[self] pia kinapatikana chang'ombe
Mimi ninamfahamu mtu ambaye anakodisha self contained bedroom & living room and a small kitchen spaceMkuu nataka chumba chang'ombe.
Chumba kimoja, kiwe na gypsum, tiles.
Maeneo ya chang'ombe au keko ya bora, ila sio keko hizi nyingine
Kwa bei ngap mkuuMimi ninamfahamu mtu ambaye anakodisha self contained bedroom & living room and a small kitchen space
Btn 250-300 na anataka kodi ya mwaka mzima.Kwa bei ngap mkuu
Maeneo yapiBtn 250-300 na anataka kodi ya mwaka mzima.
Kati ya maduka mawili na serengetiMaeneo yapi