kwani kuna mwajili analipa mshahara wa mwaka mzima!?Banda jipya la Uwani lenye Chumba na Sebule na Choo chake cha ndani (Sio masta) linapangishwa Sinza.
Nyumba ina Tiles, Gypsum na Dirisha za Vioo. Na ipo na Parking kwa ajili ya Gari moja.
Eneo ni Sinza Madukani/Kijiweni, Jirani na Ofisi za Magazeti ya kampuni ya Habari.
Kodi: Tshs. 300,000 (laki tatu) Kwa
mwezi - Ilipwe ya mwaka mzima.
Maulizo au kwa shida yoyote ya nyumba, kupanga, kupangisha, Pamoja na kuuza
Au biashara yoyote nyingine usisite kuwasiliana nami, Simu : +255-714-591548.
Kutamka bei ni rahisi sana...300,000/=chumba na sebule 2016 tukifika 2025 si'itakuwa 800,000/=?Hapana aisee mtu ukiwa na miguu yako 20×20 somewhere bora ukajenge hapo police post uishi maana hii sasa ishekuwa balaa.Wenye nyumba nyny Mungu anawaona
Na vijana wa sasa wanasema bora kupanga kuliko kujengaKutamka bei ni rahisi sana...300,000/=chumba na sebule 2016 tukifika 2025 si'itakuwa 800,000/=?Hapana aisee mtu ukiwa na miguu yako 20×20 somewhere bora ukajenge hapo police post uishi maana hii sasa ishekuwa balaa.
biashara ya unga? freshBanda jipya la Uwani lenye Chumba na Sebule na Choo chake cha ndani (Sio masta) linapangishwa Sinza.
Nyumba ina Tiles, Gypsum na Dirisha za Vioo. Na ipo na Parking kwa ajili ya Gari moja.
Eneo ni Sinza Madukani/Kijiweni, Jirani na Ofisi za Magazeti ya kampuni ya Habari.
Kodi: Tshs. 300,000 (laki tatu) Kwa
mwezi - Ilipwe ya mwaka mzima.
Maulizo au kwa shida yoyote ya nyumba, kupanga, kupangisha, Pamoja na kuuza
Au biashara yoyote nyingine usisite kuwasiliana nami, Simu : +255-714-591548.
....kuna zilizochomoka,ama?...unalinganishia bei kwa 'lodge?'....Kwa kodi hiyo awamu hii ya hapa kazi tu utasubiri sana mkuu. Wakati hapa hapa sinza madukani kuna Manyara lodge inapangishwa na vyumba ni master bei 150000 tu kodi miezi 6.
Na vijana wa sasa wanasema bora kupanga kuliko kujenga
Kwako kuna raha yake kwa maana ya Uhuru na ukishajenga umejenga tofauti na kupanga Kila siku kodi inapanda ukichukua nyumba ya laki name kwa mwezi Mara mwaka na nyumba ndogo ya kuanzia maishakweli kabisa..mkuu..mie nimejijengea kabanda kangu kwa nyuma ya kiwanja changu kwa same spec . kwa 5 mil..yani napumua..niliwaza nijivutie kigarii au nirekebishe ki gofu cha site,,
kweli kabisa mkuu...yani nawaombeaga mungu sana vijana wenzangu wawe makini sana kwenye mipango ya maisha..maan awengi wanapotea kwenye vitu vidogo..cost analysis.Kwako kuna raha yake kwa maana ya Uhuru na ukishajenga umejenga tofauti na kupanga Kila siku kodi inapanda ukichukua nyumba ya laki name kwa mwezi Mara mwaka na nyumba ndogo ya kuanzia maisha
Chumba na Sebule[self] pia kinapatikana chang'ombeBanda jipya la Uwani lenye Chumba na Sebule na Choo chake cha ndani (Sio masta) linapangishwa Sinza.
Nyumba ina Tiles, Gypsum na Dirisha za Vioo. Na ipo na Parking kwa ajili ya Gari moja.
Eneo ni Sinza Madukani/Kijiweni, Jirani na Ofisi za Magazeti ya kampuni ya Habari.
Kodi: Tshs. 300,000 (laki tatu) Kwa
mwezi - Ilipwe ya mwaka mzima.
Maulizo au kwa shida yoyote ya nyumba, kupanga, kupangisha, Pamoja na kuuza
Au biashara yoyote nyingine usisite kuwasiliana nami, Simu : +255-714-591548.
mpaka umejibu bila shaka unajua naongea na nani, otherwise ungepiga kimya!Unaongea na mimi au Simu?