chumba na sebule kinapangishwa maeneo ya tabata kimanga kiko karibu na stendi pia kodi yake nafuu ni sh.60,000 kwa mwezi na kodi inalipwa kwa miezi 6 nicheki kwa 0717 022737
chumba na sebule kinapangishwa maeneo ya tabata kimanga kiko karibu na stendi pia kodi yake nafuu ni sh.60,000 kwa mwezi na kodi inalipwa kwa miezi 6 nicheki kwa 0717 022737
Ni kweli bei nafuu mkuu! Kimanga sehemu gani, mazingira ya nyumba yakoje, inajitegemea au? Self? Hiyo nyumba ina uzio? Kuna sehemu ya kupaki kibajaji changu? Humo ndani kuna wapangaji wengi wanakaa? Tupia na vijipicha viwili vitatu nahitaji kibanda cha kuweka mpango wa kando nikija mjini niwe napunguza gharama!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.