Chumba kipo DSM . Kinakodishwa hakuna dalali. So utgently.

Chumba kipo DSM . Kinakodishwa hakuna dalali. So utgently.

John W. Mlacha

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2007
Posts
3,504
Reaction score
1,343
Ni chumba na sebule. Cha kulala ni self contained. Na kuna bafu na choo tena ipo kwa nje which means wageni ama ndugu watakuwa wanalitumia watakuwa hawatumii bafu lako la ndani.
Ni kimara baruti sio mbali na barabara. Kimelipiwa hadi mwezi wa 6 tar 31.. Nimehamishwa mkoani kikazi thats why nakikodisha kwa anayetaka. Bei ni laki na elfu 10. Na hakuna dalali.
Contact. 0714 925 525
ImageUploadedByJamiiForums1361162355.640138.jpg ImageUploadedByJamiiForums1361162387.918415.jpg
Hapo ni picha ya bafuni na mlango wa kutoka bafuni kwenda chumba cha kulala. Vyumba ni vikubwa sana. Simu hio hapo . Call any time if you are serious.
 
Picha zinaweza zikawa zimetoka vibaya ila kiko upo unaruhusiwa kuja kuona .. Maji yapo nje hakuna shida ya maji.
 
So mtu utalipia hadi. Mwezi wasita tar 31 . Baada ya hapo utaanza kulipa kwa mwenye nyumba
 
Chumba kizuri. Je wewe ndo mwenye mpango wa kujenga hilo jiko au ni mwenye nyumba. Na je mwenye nyumba anajua kwamba unatafuta mpangaji mwingine?
 
Chumba kizuri. Je wewe ndo mwenye mpango wa kujenga hilo jiko au ni mwenye nyumba. Na je mwenye nyumba anajua kwamba unatafuta mpangaji mwingine?

Mimi ni kama mwenye nyumba. Kama wewe unahitaji chumba be serious. Unapewa chumba mbele ya mwenye nyumba : so no room for errors. You got me?
 
ikiisha kodi..mwenye nyumba hutaka ngapi kwa mwezi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom