Chumba kinapangishwa 40,000/=

Mfano nikihamia alafu nikaweka Tv yangu huu upande wa dirisha hapo kwa pembeni si itakua fresh? Sema chumba kikubwa nimekipenda


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
40,000/month kama kipo kona nzuri mi nalipia miezi 6 niwe napigia mademu kabla sijarudi home kwa mke wangu kuliko kuwa nachukua chumba gesti 65,000 nikipata kicheche kitaa
 
chumba chenyewe paa lipo chini sana hivyo kitakua na joto sana hata feni haisaidii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…