Sema rangi iliyopakwa mie sijaipenda.Kizuri kweli
Ila mm auntie nimependa feni lake tu ndio wanaita pangaboi eenhSema rangi iliyopakwa mie sijaipenda.
Hiyo itakuwa shoka girl.Ila mm auntie nimependa feni lake tu ndio wanaita pangaboi eenh
Kizuri kweli
Sema rangi iliyopakwa mie sijaipenda.
Nyie picha mmeiona wapi? Au mnafanya imagination hapa!!Ila mm auntie nimependa feni lake tu ndio wanaita pangaboi eenh
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hiyo itakuwa shoka girl.
Mkuu huoni picha kweliNyie picha mmeiona wapi? Au mnafanya imagination hapa!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu huoni picha kweli
Labda macho yangu ni makupekupe tu. Nilitaka kuomba picha lkn comment zenu zikanisubirisha.Mkuu huoni picha kweli
Hahahaha auntie niache bwana nashangaa kwa nn yeye haoni sisi tuone picha ya chumba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ebu zoom utaona picha mkuu wanguLabda macho yangu ni makupekupe tu. Nilitaka kuomba picha lkn comment zenu zikanisubirisha.
Naomba unisaidie kuiona mkuu
Msaidie mwenzio aone picha.Hahahaha auntie niache bwana nashangaa kwa nn yeye haoni sisi tuone picha ya chumba
Hakika.Ebu zoom utaona picha mkuu wangu
Msaidie mwenzio aone picha.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hakika.
Nimekiona baada ya kutumia jicho la 3.
Sijaipenda raki yake aliyoipaka hadi usawa wa madirishani. Imo kwenye jezi ya timu nisiyoipenda.
Choo cha nje na kipo mbali. Nikitoka hadi nirudi usingizi kwishney.
Asante mkuu kwa ushauri wako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Auntieeee hatimaye kaona bwana
Kwani unataka chumba cha kupanga?Wewe mtoa mada bila picha hapa sawa na mwili bila roho ....kamilisha tangazo lako usituchoshe
Sent using Jamii Forums mobile app