Rev Fr KABOKA mchizi
Member
- Feb 20, 2012
- 93
- 11
Umaskini hauna adabu wajameni. Jamaa mmoja na mke wake (bado hawana mtoto) wamepanga chumba kimoja ambacho wamegawa kwa pazia ili kutenganisha sehemu yenye kitanda.. Sasa kuna kipindi walikua na mtoto wa kaka yao (miaka 5) alikua anaugulia pale. Usiku wa manane wa jumapili flan wakawa wanangonoka wakidhani yule mtoto amelala. Lahaula, kumbe alikua nachabo na jicho moja japo anaumwa! Shughuli ya kungonoka ilivyonoga dogo akaona kama komedi flan ghafla akacheka kwa sauti. Duh! Jamaa ikabidi wasitishe mchezo! Hiyo ndiyo fedheha ya kuwa na chumba kimoja ukiwa umeoa na kuna mtoto/watoto ndani ya nyumba!