mathematics JF-Expert Member Joined Feb 21, 2012 Posts 3,324 Reaction score 1,116 Jan 2, 2013 #21 MTORI said: Nahitaji chumba cha kupanga ubungo garama iwe 30,000 maji yawe karibu contact 0712859430. Click to expand... mkuu ubungo ni kubwa na hujawa specific, chumba kizuri ubungo kinaanzia 50,000+ , vya 30,000 unaweza pata lakini havina hadhi kabisaa!! endelea kutafuta unaweza kupata na kama utaambiwa uongeze hela kidogo usisite,
MTORI said: Nahitaji chumba cha kupanga ubungo garama iwe 30,000 maji yawe karibu contact 0712859430. Click to expand... mkuu ubungo ni kubwa na hujawa specific, chumba kizuri ubungo kinaanzia 50,000+ , vya 30,000 unaweza pata lakini havina hadhi kabisaa!! endelea kutafuta unaweza kupata na kama utaambiwa uongeze hela kidogo usisite,
ummu kulthum JF-Expert Member Joined Feb 6, 2012 Posts 2,784 Reaction score 1,317 Jan 3, 2013 #22 mathematics said: :cheer2:anamaanisha wewe ni paka na yeye Mwanamalundi ni panya, Click to expand... hahaaaaaa! nimemkamataje kapanya haka kamekuwa ka dogooo ka piriton hebu kacheki hapo juu hakana hata pa kutokea,lol!! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
mathematics said: :cheer2:anamaanisha wewe ni paka na yeye Mwanamalundi ni panya, Click to expand... hahaaaaaa! nimemkamataje kapanya haka kamekuwa ka dogooo ka piriton hebu kacheki hapo juu hakana hata pa kutokea,lol!!
K kelvinkipeta Senior Member Joined Feb 17, 2012 Posts 108 Reaction score 11 Jan 3, 2013 #23 toka bwana