Chumba cha kupanga tsh. 50,000/=

Chumba cha kupanga tsh. 50,000/=

Catryn Francy

New Member
Joined
Jun 21, 2012
Posts
4
Reaction score
0
Natafuta chumba cha kupanga, maeneo ya SINZA, KIJITONYAMA na MWENGE, Uwezo wangu wa kifedha ni shilingi 50,000/= kisiwe uswazi na ikiwezekana MWENYE NYUMBA asiwe anaishi hapo.
 
Hapa utajichanganya tu,
humu tumejaa wasanii kibao,
tafuta dalali mitaa ya sinza wakutafutie chumba bibie.
 
hapana, kwa asilimia kubwa ninavyofahamu mimi ni kuwa wenyenyumba wengi huwa wakorofi bhana.
 
Back
Top Bottom