Chumba cha Kupanga bila ya Dalali - Mbagala Kuu

Chumba cha Kupanga bila ya Dalali - Mbagala Kuu

The Giant

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2012
Posts
504
Reaction score
96
Nahitaji Chumba maeneo ya mbagala kuu na maeneo ya jirani bila kutumia third party(dalali). Ni kimoja tu kiwe kikubwa na wapangaji wachache(1 to 2 preferably). Kiwe maeneo tulivu kama butcher au mgeni nani. Na huduma zile za msingi umeme na maji (hata Kama kwa jirani). Budget ni 30k per month, let me know. Kuhamia ni December.
Thanks!
 
Back
Top Bottom