Chumba cha kupanga Arusha kinahitajika

Chumba cha kupanga Arusha kinahitajika

Lakini unakuta cha wastani sio kikubwa kihivyo.
80 hiyo hata Njiro anapata ila sasa sehemu zingine mvua ikinyesha nje unapachukia ilo tope.

Ugumu unakuja kwenye furnitures na vitu vitu vya aina hiyo, ila maisha ni kawaida tu ila ukawaida wake hauwezi kuwa the same na Dar. Dar mtu anapika ugali anatoka nje kununua dagaa mchele mchana umeisha. Ila Arusha sasa hamna hiyo
Vipo boss wangu tatizo wewe uko ushuani lkn maisha ya Dar yako pia Arusha, karibu kwetu Ngarenaro ushuhudie
 
Alaaa kumbe, basi mimi hakuna mkoa nauogopa kama Arusha
Watu huwa wanawatisha watu wengine kuwa huku maisha ni ghali sana ila kama alivyosema mdau

Maisha ya Arusha hutofautiana kulingana na kipato cha mtu

Mtu anayeishi Njiro, Burka, Sakina ni tofauti na maisha ya mtu anayeishi unga au matejoo ni dunia mbili tofauti kabisa kuanzia lifestyle mpk maongezi
 
Ooh really? Pembeni sana ya mji lakini si ndio?
Hata mjini kwa kutembea dk 3 umefika kituoni na gari moja hadi mjini kati vipo. Ila ndiyo uwezi linganisha ubora wake na vile vya 50 vya Dar
 
Ningekuunganisha mahali kuna nyumba mpya ndio zimejengwa singo self lakini naona kama wewe ni wale wapangaji wasumbufu u much know sana.
Hahaha sasa umejuaje Mbona unamuhukumu
 
Vipo boss wangu tatizo wewe uko ushuani lkn maisha ya Dar yako pia Arusha, karibu kwetu Ngarenaro ushuhudie
Ushuani gani kule mwisho daladala saa mbili 😀
 
Watu huwa wanawatisha watu wengine kuwa huku maisha ni ghali sana ila kama alivyosema mdau

Maisha ya Arusha hutofautiana kulingana na kipato cha mtu

Mtu anayeishi Njiro, Burka, Sakina ni tofauti na maisha ya mtu anayeishi unga au matejoo ni dunia mbili tofauti kabisa kuanzia lifestyle mpk maongezi
Hapo unga ndio napaogopa kama nini nikisikia habari zake, sidhani kama naweza kukaa hata kama halo yangu inanitaka nikae huko
 
Hivi huku Matejoo Mjep si ndiyo kule tulienda hadi tukavuka kimto fulani hivi au kule ni wapi. Kule nako jamani [emoji144]
Hata sijakuelewa kiongozi maana umeelezea kana kwamba tupo pamoja huku naona unachoelekeza sasa unaposema tukavuka kimto huku mito ni mingi na pia lini mkuu tulikuwa pamoja
 
Hata sijakuelewa kiongozi maana umeelezea kana kwamba tupo pamoja huku naona unachoelekeza sasa unaposema tukavuka kimto huku mito ni mingi na pia lini mkuu tulikuwa pamoja
Hujaona tag hapo mzee baba? Tag haikuwa yako mkuu. Sorry kwa usumbufu
 
Hapo unga ndio napaogopa kama nini nikisikia habari zake, sidhani kama naweza kukaa hata kama halo yangu inanitaka nikae huko
Zamani hayo mambo ndio yalikuwepo ila siku hizi hakuna kitu kama hicho....vijana wengi wa dizaini hiyo waliuawawa katika mitaa mingi ya arusha

Lakini pia si lazima uishi unga kuna sekei, usa, moshono au morombo ambako ndio tunaweza kusema kwamba makazi ya watu wengi kama asilimia 60% ya population ya mji ipo huko
 
We are African. Kama uko mjini na mdogo wako anataka kuja mjini kujiendeleza kielimu utamlaza guest house?
Mimi ni mkazi wa dar ila kuna mishe inayokuwa inanipeleka A town mara kwa mra so nimeona kufikia logde kila mara ni bora nikapata room ili ninapokwa chuga nisiende lodge
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom