proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 7,584
- 11,785
Mimi ni mwanaume ambaye nimekodi chumba sehemu x na nipo single cha kushangaza uck nikilala nasikia mwanamke analia chumba chumba kila baada ya ck kadhaa huku sauti ya kitanda kama kinavunjika ambapo kwangu ni kero kero yan cku hizo zkifka silali vzr kwa sababu ya makelele nifanyeje aisee..mbona huo ugomvi haushi kila wiki nimechoka sasa.
Usichukue ushauri huu siku hizi watu wanasindano zao zimejazwa maji ya betri.hahahaaa piga chabo utajua yanayojiri
Chungulia Avatar yake...nina mashaka nae,Wewe si Mwanaume, Wewe ni Mvulana. Wanaume huwa hatuandiki hivyo!