mwerevu mwenye busara
Senior Member
- Oct 23, 2016
- 144
- 93
Nakihitaji icho cha tandika mkuu. Nipe maelezo ya kutosha ikiwezekana na pichaTandlka kipo kwa gharama hiyo.Umeme na maji ndani.Huduma muhimu kama stendi za daladala(ie devis kona au sokoni tandika) pana mwendo wa kutembea chini ya dakika 10,kadhalika huduma za afya,soko,polisi na shule zote zinapatikana katika eneo hilo.