Chuma ulete. Nimejichanganya

Kutumia chumvi pekee bila kuwa na mamlaka ya kiroho huwezi kufanikiwa kitu. Basi sema kwa Jina la Yesu navunja nguvu zote za chumaulete kwenye maisha yangu. Ita Damu ya Yesu mara 7 na sema natakasa uchumi wangu kwa Damu ya Yesu. Rudia kuliita Jina la Yesu na Damu ya Yesu na kuelekeza nguvu hizi za ajabu kwenye roho ya chumaulete ukitamka kuivunja kwa Jina la Yesu. Usisahau kunipa mrejesho. Pia funika uchumi na fedha zako kwa Damu ya Yesu kila wakati.
 
Kwahyo kuweka rekod ya mauzo ( kinachoingia na kutoka) ni maisha ya kizaman? Watu wa vijijin mnashda sana
Ni akili hizo, imeenda kunya choo cha stendi unatoa karatsi na kalamu unaandika, nimekunya nmelipa SHILINGI mia tatu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…