yeheda maukweli
New Member
- Sep 13, 2016
- 2
- 7
Huko unapopaona sio sahihi, wenzako ndipo wanapoenda kila siku ili biashara zao ziende vzr, ww endelea na ulokole wakoNISAIDIENI KABLA SIJAANZA KWENDA SEHEM ZISIZO SAHIHI.
Nenda na wewe ajira portal wakuone kwenye radar😅Huko unapopaona sio sahihi, wenzako ndipo wanapoenda kila siku ili biashara zao ziende vzr, ww endelea na ulokole wako
Ndo vianze baada ya kuokota? Unaongea kirahiaiRelax kwanza, track matumizi yako vizuri before ya kwenda kwa waganga.
Nshafanya hvy Naona haijafanya Kazi, cjui na wao ajira portal nao wameenda kunitengeneza 😭Nenda na wewe ajira portal wakuone kwenye radar😅
Mnarogana tu nyie😁Nshafanya hvy Naona haijafanya Kazi, cjui na wao ajira portal nao wameenda kunitengeneza 😭
Wamepania nife sijala Pesa ya serikali 😭Mnarogana tu nyie😁
Nmebakiza kwenda kwenye not selected ya mwisho mimi😎Wamepania nife sijala Pesa ya serikali 😭
Sasa ww unaeweza kuajiriwa taasisi tofauti tofauti unasema hvy, je mm ambaye n taasisi moja au mbili tuu Tz nzima niseme nn 😂Nmebakiza kwenda kwenye not selected ya mwisho mimi😎
Yani hii kazi yangu nnaamdika kila kitu😂Kila hela unayoingiza na kutoka andika kwenye daftar hata kama mia andikia
Hata nida ulikosa? Utakoma! Mimi huu mwezi mzima nimehudhuria! Next week namalizia ya Ifm basi najitoa rasmi kujihususha na mambo ya kitanzania🥲Sasa ww unaeweza kuajiriwa taasisi tofauti tofauti unasema hvy, je mm ambaye n taasisi moja au mbili tuu Tz nzima niseme nn 😂
Mm Jmos nna written, em ngoja nione 😂Hata nida ulikosa? Utakoma! Mimi huu mwezi mzima nimehudhuria! Next week namalizia ya Ifm basi najitoa rasmi kujihususha na mambo ya kitanzania🥲
Relax kwanza, track matumizi yako vizuri before ya kwenda kwa waganga.
Mimi siwezi huu gusenge! There’s more to life!Mm Jmos nna written, em ngoja nione 😂
Mm bado nipo nipo bado sijachoka kupambana japo nachoka 😂
Inaweza ikawa ile ambayo unaikatia tamaa kumbe ndo ilikuwa yako 😎Mimi siwezi huu gusenge! There’s more to life!
Uko ni kujitia moyo tu hakuna kila kitu!🚮Inaweza ikawa ile ambayo unaikatia tamaa kumbe ndo ilikuwa yako 😎
Shauri zako bidada 😂Uko ni kujitia moyo tu hakuna kila kitu!🚮