Chukua muda wako kutazama hizi Movies Weekend hii

Steve asante sana, mimi pia ni member wako mule. Ila unatusahau sana wapenda movie story na drama, Romance. Hasa zile za black american km kina ghost, Tyler perry tuwekeege pia za hivyo yaani. Story tamutamu za maisha, sio lzm ziwe na ngumi mf. Movie km me before you, nobodys fool. Tuwekee movie za namna hiyo basi.
 
Sawa. Nafanya hivyo.

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Kwako. Lakini haohao unaoita vimacho vidogo ndo wamekomba Academy Awards mbele ya macho makubwa. Tena zaidi ya 3. Na kama wewe si mtu wa movies, let me enlighten you kwamba hamna yeyote anayewazidi hao unawapuuzia wewe kwenye genre ya thrillers na mysteries, sawa Uncle Sam?
Mkuu mbona kwa channel yetu sijaona Exam na Pet Sedametar ile ya mtoto kuzikwa sehemu ya wadudu ili afufuke (kama nmekosea kuziandika, nivumilie kdg) mana nmezisoma na nimezpenda sanaa
 
Ngoja niendelee kuiangalia Deep State, inanifikirisha zaidi mpaka namwona mfufuka Ni traitor.
 
Mimi napenda movies za utafutaji maisha. Yaani mtu anapambana kwelikweli lakini mwisho wa siku anakuja kuwa na mahela. Wakuu wa movies naombeni dondoo.
 
Hahaha mkuu, huwa napost movies quality tu hivyo kwa kiasi fulani huwa na MBs.

Cha kushauri, tumia bundle la unlimited la usiku kudownload pasipo tatizo na utakavyo.
Naomba kufahamishwa, bundle la unlimited linakuaje jinsi ya kulipata na ni mtandao gani?...muuza movie ebu nielekeze
 
Naomba kufahamishwa, bundle la unlimited linakuaje jinsi ya kulipata na ni mtandao gani?...muuza movie ebu nielekeze
Habari mkuu. Personally natumia halotel ambapo nabonyeza *148*66# na kisha nachagua internet na kujiunga bundle la usiku.

Na kwakua lina kasi sana, najikuta napakua movies hata kumi kwa usiku mmoja.

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
We jamaa unapenda movies kama nnazopenda mimi,
Action
Unpredictable ending
Mind games
Twisted plot
Emotianal.
Philosophical
Katika kazi moja.
Hapa kwenye list yako nimeona hiyo A man from nowhere.
Ntazitafuta hizi nyingine zote
Natafuta Mississippi masala ya Denzel Washington mwenye kuijua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom