Chukua Ipad3 kwa Tsh 650,000/- tu

Chukua Ipad3 kwa Tsh 650,000/- tu

hahahaa, imebidi nicheke tu maana muuzaji mkali kweli huyu! btw, ukitaka kunnua nyingine si unamgawia mdogo wako tu hiyo! mi mpitaji tu, sina hata senti hapa mfukoni usinirushie mawe!

Bora ww umekuwa mkweli mkuuu, Mungu akuongoze

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨uuuu
 
Mihasira yote hii utakuwa umeikwapua mahali sasa unatafuta mtu umuuzie ili uweze kupata mlo wa siku mbili tatu na ndo maana utaki kuweka picha na specs, umpati mtu kibaka wewe! kama una mziki wa kub adili vitu kila mwaka uwezi leta hapa kuuza ungemwachia mwanafunzi anayekaa mtaani kwenu. Sisi ndo tunafanya hivyo!

Upungufu wa akil umekufanya uonekane chiz unaongea vitu visvyokuwepo na vya kufikilika,,nipo na mkeo hapa ngoja nmwoneshe jins gan ww u mchelee mchele

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨uuuu
 
Somo kwa wote wanaotanngaza vitu jf,ukishatoa condition ya anaehitaj kukufata PM,wote watakaojitokeza kuchangia kwenye Uzi hakuna mnunuaji hapo,wanunuz wanakimbilia PM na wanatnguliza mawasiliano ili biashara ifanyike lakn kuna hiz panya road za Jf utasikia weka picha cjui spec hazjakamilka...puuuu

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨uuuu
 
Mbumbumbu bibi ako kizaa mama yako

Huu ni ushauri tu next time usiwaongize wazazi kwenye mambo yasiyowahusu.Hebu tuwe na heshima kwa wazazi wetu
 
Ww kama hujiheshimu ts obviously kuwa mzaz wako nae hajiheshimu,jiheshim mzaz wako aheshimike.

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨uuuu
 
Ww kama hujiheshimu ts obviously kuwa mzaz wako nae hajiheshimu,jiheshim mzaz wako aheshimike.

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨uuuu

Your wrong kabisa.Na hata kama mzazi wako hajiheshimu hapaswi kuingizwa kwenye vitu ambavyo havimuhusu
 
We jamaa inaonyesha sio mstaarabu at all, wazazi pembeni tunazungumza cc, Mfanyabiashara hawi na lugha chafu hivyo kwa wateja wake na sidhani kama kuna aliye ku PM ili mfanye nae biashara nd reason kubwa ni kutokua mstaarabu kwa wanaotaka kujua hata kama hawanunui, Jirekebishe Ariiif sio namna ya ku Communicate asee!!
 
akajifunze communication skills, na inaonekana hajui biashara coz biashara haiendi kwa lugha ya kebehi na majivuno.
 
ahahaha jamaa kaandika kuwa tayar kauza

sina iman kama kauza kwa jinsi alivyokuwa ana jibu kwa nyodo

Nahis kaona hapa huakuna wateja akajiliwaza kwa kusema kuwa kauza....ila ukweli anaujua yy
 
Kama mfuko wako safi kwa nn uiuze?

Hushangai kumuona Bhakresa na ubilionea wake anauza andazi na chapati?

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨uuuu
 
We jamaa inaonyesha sio mstaarabu at all, wazazi pembeni tunazungumza cc, Mfanyabiashara hawi na lugha chafu hivyo kwa wateja wake na sidhani kama kuna aliye ku PM ili mfanye nae biashara nd reason kubwa ni kutokua mstaarabu kwa wanaotaka kujua hata kama hawanunui, Jirekebishe Ariiif sio namna ya ku Communicate asee!!

To hell hyo communication skills unasoma ww ulie shule,fikra finyu na mawazo mgando ndo yamekuweka hapo ulipo,nlichokihitaj nmekipata so ww piga kelele mzigo wangu umetoka nafanya mambo ya msingi Mjini hapa

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨uuuu
 
ahahaha jamaa kaandika kuwa tayar kauza

sina iman kama kauza kwa jinsi alivyokuwa ana jibu kwa nyodo

Nahis kaona hapa huakuna wateja akajiliwaza kwa kusema kuwa kauza....ila ukweli anaujua yy

Maskin mawazo yenu yanajulkana,kaaa na mawazo hayo hayo msubir Kiboko akupakue

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨uuuu
 
akajifunze communication skills, na inaonekana hajui biashara coz biashara haiendi kwa lugha ya kebehi na majivuno.

Mie sio hap uliowazoea et atajishusha kisa anahitaj pesa ako,ukiacha nunua ww mwenzio atanunua mteja haupo pekeako dogo,kama mbwai mbwai tu mjini znatafutwa pesa sio maneno ya kimama hayo unayoyasema Aunt ww.

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨uuuu
 
Mbumbumbu bibi ako kizaa mama yako

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨uuuu

Bwana mdogo acha matusi! Biashara gani unafanya hapa? Hv unajua biashara kweli ww?
 
Upungufu wa akil umekufanya uonekane chiz unaongea vitu visvyokuwepo na vya kufikilika,,nipo na mkeo hapa ngoja nmwoneshe jins gan ww u mchelee mchele

Sent from my iPhone using JamiiForums.uuuu

Huu mwezi mchanga huwa una mambo kweli mkweli! Kama nakuona vile kichaa wangu, ujampata mtu na humpati mtu hapa!
 
Bwana mdogo acha matusi! Biashara gani unafanya hapa? Hv unajua biashara kweli ww?

Ww ndo unaeijua sio?

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨uuuu
 
Huu mwezi mchanga huwa una mambo kweli mkweli! Kama nakuona vile kichaa wangu, ujampata mtu na humpati mtu hapa!

Biashara ya kijiuza mtoto wa kiume umeanza lini?

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨uuuu
 
Mie sio hap uliowazoea et atajishusha kisa anahitaj pesa ako,ukiacha nunua ww mwenzio atanunua mteja haupo pekeako dogo,kama mbwai mbwai tu mjini znatafutwa pesa sio maneno ya kimama hayo unayoyasema Aunt ww.

Sent from my iPhone using JamiiForums.����uuuu

Upo vizuri na maneno ya majigambo kama mke mwenza. Then jifunze kuwa na busara japo kwenye lugha unayotumia coz inavyoonekana hata baba yako unamuitaga ant. Nyambafuuuu ww.
 
Hahahha jiwe limetupwa gizani

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨uuuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom