JamAn mzigo upo bongo jichukulie ipad 16GB kwa bei ya kutupwa kabsa,aleko interested tuwasiliane PM..
Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨uuuu

View attachment 174188
Kwa wanunuz bt most of raia huku hupenda kuomba picha na spec huku wakijua mifukon mwao wapo hovyoo.....acheni tabia hyo
Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨uuuu
Acha kashfa wewe! wewe umeishiwa halafu unaleta nyodo acha hizo!
Kama ndo unawaza mttu kuuza kitu ameishiwa basi una umaskin wa fikra,kuna watu huwa hatumilik ktu zaid ya mwaka mmoja,nauza hyo nachukua ipad4,kama haupo ktk ulmwengu huu huwez elewa n kip nnamaanisha,kojoa ukalale mvua inanyesha dar huko mkoan ulpo vip mavuno yanaendelea?
Sent from my iPhone using JamiiForums.uuuu
Mnunuaji akiambiwa ipad3 anaijua tayar lakin hii mijitu kma ww inayoomba picha haina hata mia ya kukwangulia vocha
Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨uuuu
Nna ipad 3 pia... Check me in 0715490570.
samahani kiboko kwa kuparamia sledi yako.
Kama ndo unawaza mttu kuuza kitu ameishiwa basi una umaskin wa fikra,kuna watu huwa hatumilik ktu zaid ya mwaka mmoja,nauza hyo nachukua ipad4,kama haupo ktk ulmwengu huu huwez elewa n kip nnamaanisha,kojoa ukalale mvua inanyesha dar huko mkoan ulpo vip mavuno yanaendelea?
Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨uuuu
Kama ndo unawaza mttu kuuza kitu ameishiwa basi una umaskin wa fikra,kuna watu huwa hatumilik ktu zaid ya mwaka mmoja,nauza hyo nachukua ipad4,kama haupo ktk ulmwengu huu huwez elewa n kip nnamaanisha,kojoa ukalale mvua inanyesha dar huko mkoan ulpo vip mavuno yanaendelea?
Sent from my iPhone using JamiiForums.uuuu
Nimekutana na watu mbumbumbu na wavivu wa kufikiri ila we umepitiliza, Kuijua co tatizo ila hali yake ionekane, inaelekea ndo mara ya kwanza kuwa na hyo Ipad unaulizwa kistaarabu unaleta Dharau, au unadhani kua na hiyo Ipad 3 ndo umewin maisha......jifunze ustaarabu!!!