Tunutu kiwavi
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 528
- 215
Hamna anayekataa kuwa jiji la Makonda linaongozwa na Ukawa kuanzia idadi ya madiwan wabunge had mameya.
Pamoja na ukweli huo, ukilinganisha utendaji kazi kat ya viongozi hao wa Ukawa na mkuu wao wa mkoa utaona kuna gepu kubwa la kiutenaji.
Kwa mda mchache akitumikia kiti chake makonda ameonesha uthubutu mkubwa katika kutatua changamoto mbambl zinzoikabili jiji la Dar ar es salam na wakazi wake, na kufanya Makonda kupata sifa na umaarufu mkubwa jijini na nchini kiujumla.
Hili limekuwa likiwaumiza sana ndugu zetu wa Ukawa kwa muda mrefu , sasa wameoona sehemu pkee ya kufifisha sifa sake in hili la vyeti.
Wameshikilia bango utadhani vyeti ndo vinafanya kazi.
Hapo utaona hawa ndug zetu lengo lao kubwa madaraka na sio maendeleo ya wananchi, pamoja na jithada zote alionesha ndugu Makonda wenyewe wanjifanya hawaoni wako bize na vyeti na kujaribu kutaka kuwaibuwa viongoz wao waliofunikwa vibaya katika utendaji,
Poleni sana ila nawakumbuaha kama mnaona vyeti ndo kila kitu kuna haja sasa ya kumpa uwenyekiti wa chama Prof safar badala ya Huyo std 6 wetu